KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Yesu Awakubali Wakosa
Sinners, Jesus will receive

 1. Yesu awakubali,
  Wakosa, wahalifu,
  Wambieni wa mbali
  Habari ya wokovu.

 2. Tangazeni kwa bidii,
  "Akubali wakosa!"
  Liwe neno dhahiri
  "Akubali wakosa!"

 3. Awakubali Bwana
  Neno lake amini,
  Watu kila aina,
  Waje kwake tengoni.

 4. Mimi ni safi moyo
  Na mbele ya sharia,
  Aliyesafi roho
  Kwake ilitimia.

 5. Akubali wakosa;
  Nami anikubali;
  Alivyonitakasa
  Mbinguni niwasili.


TenzizaRohoni

ADS