KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Yesu Aliniita, "Njoo"
(I heard the voice of Jesus say)

 1. Yesu aliniita, "Njoo,
  Raha iko kwangu,
  Kichwa chako ukilaze
  Kifuani mwangu,"
  Nilikwenda kwake mara,
  Sana nilichoka,
  Nikapata kwake raha,
  Na furaha tena.

 2. Yesu aliniita,
  "Njoo, Kwangu kung maji,
  Maji ya uzima, bore,
  Unywe owe hai."
  Nilikwenda kwake mara
  Na maji nikanywa;
  Naishi kwake, na kiu
  Kamwe sins tena.

 3. Yesu aliniita,
  "Njoo, Dunia ni giza,
  Ukinitazama nuru
  Takung'arizia."
  Nilikwenda kwake mara
  Yeye jua langu,
  Ni kila wakati mwanga
  Safarini mwangu.


TenzizaRohoni

ADS