KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Yesu Akwita
(Jesus is tenderly calling today)

 1. Yesu akwita, chanena
  Chuo;
  Uje leo, uje leo;
  Kwani kusita?
  Akwita,
  Njoo;

 2. Unatanga upeo.
  Hwita leo, hwita leo.
  Yesu akwita kwa pole
  Akwita leo.

 3. Waliochoka, wapumzike,
  Hwitwa leo, hwitwa leo;
  Wenye mizigo, wakamtweke,
  Wapate mapumuo.

 4. Anakungoja, uliye yote,
  Uje leo, uje leo;
  Uliyekosa usijifiche;
  Woshwe, uvikwe nguo.

 5. Yesu asihi wakawiao,
  Waje leo, waje leo;
  Watafurahi waaminio;
  Usije kwani? Njoo.


TenzizaRohoni

ADS