KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Usinipite Mwokozi

 1. Usinipite mwokozi,
  Unisikie,
  Unapozuru wengine,
  Naomba usinipite,

 2. Yesu, yesu,
  Unisikie,
  Unapozuru wengine,
  Usinipite.

 3. Kiti chako cha rehema,
  Na kitazama,
  Magoti napiga pale,
  nisamehewe,

 4. Sina ya kutegemea,
  ila wewe tu,
  uso wako uwe kwangu,
  na kua budu,

 5. U mfaraji peke yake,
  sina mbinguni,
  wala duniani popote,
  bwana mwingine.


TenzizaRohoni

ADS