KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Twende Kwake
(Come to Jesus just now)

 1. Twende kwake, twende kwake, kwake Yesu sasa,
  Sasa twende kwake, kwake Yesu sasa!

 2. Akwokoe, akwokoe, Bwana Yesu sasa!
  Sasa akwokoe, Bwana Yesu, sasa!

 3. Msadiki, msadiki, Bwana Yesu sasa,
  Sasa msadiki, Bwana Yesu sasa!

 4. Anaweza, anaweza, Bwana Yesu sasa,
  Sasa anaweza, Bwana Yesu sasa!

 5. Anapenda, anapenda, Bwana Yesu, sasa,
  Sasa anapenda, Bwana Yesu sasa!

 6. Njoo hima, njoo hima, kwake Yesu sasa,
  Sasa njoo hima, kwake Yesu, sasa!


TenzizaRohoni

ADS