KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Roho Yangu Hima

 1. Roho yangu hima, na taa yako
  Kaiwashe vyema, hapa si pako;
  Nguvu zote pia za duniani
  Hazitakudhuru ukiamini.

 2. Yesu yuko mbele, Yesu yu nyuma,
  Yesu vivyo kando, walindwa vyema.

 3. Adui Shetani, na nguvu zake,
  Bwana ameshinda kwa kifo chake;
  Wewe nguvu huna, huna kabisa.
  Ndiwe mpungufu, mnyonge hasa.

 4. Toka na mapema, mbele ya wote,
  Omba, bisha sana, maisha yote;
  Vita vikaliko, macho ukae,
  Jivike silaha, nawe sishindwe.

 5. Bwana Yesu ndiye kwako Mchunga,
  Neno lake Bwana ndilo upanga;
  Mbingu zitakwisha, nan chi pia,
  Neno lake Bwana laendelea.


TenzizaRohoni

ADS