KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Nimekombolewa na Yesu
Redeemed! How I love to proclaim it!

 1. Nimekombolewa na Yesu
  Aliyenirehemia;
  Kwa bei ya mauti yake
  Nimekuwa mtoto wake.

 2. Kombolewa!
  Nakombolewa na damu;
  Kombolewa!
  Mimi mwana wake kweli.

 3. Kukombolewa nafurahi,
  Kupita lugha kutamka;
  Kulionyesha pendo lake,
  Nimekuwa mtoto wake.

 4. Nitamwona uzuri wake,
  Mfalme wangu wa ajabu,
  Na sasa najifurahisha
  Katika neema yake.

 5. Najua taji imewekwa
  Mbinguni tayari kwangu;
  Muda kitambo atakuja,
  Ili alipo, niwepo.


TenzizaRohoni

ADS