KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Nasikia kuitwa, na Sauti Yako

 1. Nasikia kuitwa,
  Na sauti yako,
  Nikasafiwe kwa damu,
  Ya kwangikwa kwako.

 2. Nimesogea Mtini pako,
  Unisafi kwa damu,
  Ya kwangikwa kwako.

 3. Ni mnuonge kweli,
  Umenipa nguvu,
  Ulivyonisafi taka,
  Ni utimilivu.

 4. Yesu hunijuvya;
  Mapenzi, imani;
  Tumai, amani, radhi,
  Hapa na Mbinguni.

 5. Huipa imara,
  Kazi yake, ndani;
  Huongezeka neema,
  Ashindwe Shetani.

 6. Huishuhudia,
  Myoyo ya imani
  Ya kuzipata ahadi,
  Wakimuamini.

 7. Napata wokovu,
  Wema na neema;
  Kwako Bwana nina nguvu,
  Na haki daima.


TenzizaRohoni

ADS