KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Mungu ni Pendo
God is Love

 1. Mungu ni pendo, apenda watu;
  Mungu ni pendo, anipenda.

 2. Sikilizeni furaha yangu,
  Mungu ni pendo, anipenda.

 3. Nalipotea katika dhambi,
  Nikawa mtumwa wa Shetani.

 4. Akaja Yesu kunikomboa,
  Yeye kanipa kuwa huru.

 5. Sababu hii namtumikia,
  Namsifu Yeye siku zote.


TenzizaRohoni

ADS