KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Mungu Twatoa Shukurani
(Father, we thank Thee)

  1. Mungu twatoa shukurani,
    Kwa kutulinda usikuni,
    Na Kutuangalia mchana,
    Kutuongoza kila mara.


TenzizaRohoni

ADS