KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Liseme (Sarah Kĩarie)

 1. Kwani ni jambo lipi hilo,
  Yeye asiloliweza?
  Kwani ni jambo lipi hilo,
  yeye asiloliweza?

 2. Liseme, liseme!
  litaje, litaje!

 3. Kwani ni jambo lipi hilo,
  Yeye asiloliweza?
  Kwani ni jambo lipi hilo,
  Yeye asiloliweza?

 4. Yeye ni Baba wa yatima;
  Yeye ni mume wa wajane!

 5. Kwani ni jambo lipi hilo,
  Yeye asiloliweza?
  Kwani ni jambo lipi hilo,
  Yeye asiloliweza?

 6. Yeye ni mponyaji,
  Yeye ni mkarimu;
  Mlinzi, mfariji wa ajabu!

 7. Kwani ni jambo lipi hilo,
  Yeye asiloliweza?
  Kwani ni jambo lipi hilo,
  Yeye asiloliweza?


TenzizaRohoni

ADS