KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Kukawa na Giza Dunia Yote
(The whole world was lost in the darkness of sin)

 1. Kukawa na giza dunia yote,
  Ni Mwanga wa ulimwengu,
  Ikaisha ulipokuja yote,
  Ni Mwanga wa ulimwengu.

 2. Jua, Yesu hana mwenziwe!
  Nalipofuka kama wewe:
  Nakwombea umwone nawe,
  Ni Mwanga wa ulimwengu.

 3. Hatuna giza tudumuo mwake,
  Ni Mwanga wa ulimwengu,
  Tumwandamiapo nyayoni mwake
  Ni Mwanga wa ulimwengu.

 4. Enyi wa gizani wenye kutanga!
  Ni Mwanga wa ulimwengu,
  Kaulekeeni, mpate lenga;
  Ni Mwanga wa ulimwengu

 5. Tutamwona Mwokozi juu ya mbingu
  Ni Mwanga wa ulimwengu;
  Ni Nuru za mbinguni Kondoo wa Mungu
  Ni Mwanga wa ulimwengu.


TenzizaRohoni

ADS