KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Kivulini Mwa Yesu
(In the shadow of His wing)

 1. Kivulini mwa Yesu kuna kituo;
  Kituo mbali na hamu kituo kilicho tamu.

 2. Kivulini mwa Yesu kuna kituo;
  Kivulini mwa Yesu kuna kituo;
  Raha tu, mie; amani tupu.
  Furaha tele; kivulini mwa Yesu
  Raha tu, mle; amani tupu,
  Furaha tele, kivulini mwa Yesu.

 3. Kivulini mwa Yesu nina amani
  Iliyopita fahamu, tena itakayodumu

 4. Kivulini mwa Yesu nina furaha;
  Furaha yenye fahari, ya kueneza habari.


TenzizaRohoni

ADS