KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Dhambi ikikulemea
Come, every soul by sin oppressed

 1. Dhambi ikikulemea,
  Kwa Bwana rehema;
  Hivi sasa tegemea

 2. Neno la salama.
  Tegemea, tegemea,
  akwita sasa.
  Ni Mwokozi, ni Mwokozi;
  amini sasa.

 3. Yesu amemwaga damu
  Ya nyingi baraka;
  Nawe sasa oga mumu
  Zioshwamo taka.

 4. Ni njia Yeye hakika
  Hwongiza rahani;
  Usikawe kumshika,
  Uwe barakani.

 5. Karibu nawe wingie
  Kwetu safarini,
  Twende tukamwamkie,
  Milele mbinguni


TenzizaRohoni

ADS