KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Ahandi Zake (Marion Shako)

 1. Nafsi yangu usichoke,
  Roho yangu msifu Bwana;
  Alihadi atatenda,
  Mtumainie Bwana.
  Ahadi zake ni za milele,
  Akiahidi atatenda
  Roho yangu nafsi yangu,
  Mtumainie Bwana.

 2. Kama mvua ishukavyo,
  toka mbinguni kwenye ardhi;
  Na neno lake kwa kinywa chake,
  halitarudi bure.
  Litatimiza mapenzi yake,
  litatenda alivyo sema;
  Aliahidi atatenda,
  mtumainie Bwana.

 3. Mawazo yake sio yetu,
  njia zake si kama zetu;
  Mbingu zilivyo juu ya nchi,
  mawazo yake ni makuu.
  Ataagiza fadhili zake,
  wimbo wake kwangu usiku;
  Sifadhaike usiiname,
  mtumainie bwana.


TenzizaRohoni

ADS