KASISI w3Cert.
TenzizaRohoni

ADS

TENZI ZA ROHONI

Adonai (Marion Shako)

 1. Yelele …..
  Nakupamba na sifa zangu,
  Wewe Kwangu Ebeneza;
  Nakupamba na sifa zangu,
  Wewe Kwangu Ebeneza;
  Nakupamba na sifa zangu,
  Wewe Kwangu Ebeneza.

 2. Nakuinua, Wastahili,
  Wapendeza, Mungu wangu.
  Jina lako, Takatifu,
  Wewe kwangu … Ooh!

 3. Nakwita, Adonai!;
  Ewe U Bwana Wangu.
  Nakwita, Jehova Nissi!;
  Bendera yangu -
  Vita ni vyako.
  Nakuita, Jireh!
  Sipungukiwi na chochote
  Jehova Shammah!;
  Mungu pamoja nami.

 4. Nakuinua, Wastahili, Wapendeza;
  Mungu wangu.
  Jina lako, Takatifu, Wewe kwangu … Ooh!


TenzizaRohoni

ADS